Katibu Mkuu wa chama tawala CCM, Abdulrahman Kinana amejiuzulu kufuatia tetesi za muda mrefu kwamba alikuwa akifanya kazi katika mazingira magumu. Amekabidhi barua ya kuachia madaraka kwa Rais Magufuli.
J3: 28.05.2018 - TZ/CCM -Abdulrahman Kinana steps down - MP3-Stereo
DW imezungumza na na Profesa Ignald Mihanjo, kada wa taifa wa CCM ambaye pia ni mkufunzi wa makada na viongozi wa chama hicho, na kwanza kuuliza hii si mara ya kwanza mwanasiasa huyo anaelezwa kuwa na nia ya kutaka kujiuzulu. Je, ni changamoto gani hasa zikimfanya kufikia maamuzi hayo ?