Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake za kuwania kufuzu kombe la dunia mwakani. Tanzania iko katika kundi ambalo imeshinda mechi tatu kufikia sasa hatua inayowaweka katika nafasi nzuri ya kufuzu kwenye mashindano hayo yatakayofanyika mwakani. Taarifa zaidi ni katika ripoti hii ya Mindi Joseph.