Takriban wanajeshi 11 wa Urusi wauawa katika tukio la ufyatuaji risasi, mamlaka ya Ugiriki yaishutumu Uturuki kwa kuwalazimisha wahamiaji 92 kuvuka na kuingia Ugiriki na rais wa China Xi Jinping asema ni muhimu kwa nchi hiyo na Korea Kaskazini kuimarisha mawasiliano