China yazindua mfumo wa ''hati ya kusafiria ya virusi'' kuanzisha usafiri wa kimataifa, mkurugenzi mkuu wa shirika la biashara ulimwenguni WTO Ngozi Okonjo-Iweala ahimizwa kufanya mazungumzo na kampuni za kutengeneza chanjo ya virusi vya corona kuongeza idadi ya chanjo hizo na Marekani kuzingatia upya muda wa mwisho wa kuondoka kwa vikosi vyake vya kijeshi nchini Afghansitan