Kiongozi wa kundi la Dola la Kiislamu Abubakar Al-Baghda aibuka na kuwataka wapiganaji wake kutosalimu kwa maadui. Umoja wa Mataifa umewataka viongozi wa Myamnar kukomesha mgogoro wa jamii ya Rohingya. Na kiongozi wa upinzani Kenya aitisha maandamano nchi nzima kushinikiza mageuzi katika tume ya uchaguzi.