Muhtasari: Rais wa Marekani Donald Trump atangaza ushuru mpya na wa kudumu kwa magari yote yanayoagizwa nje ya nchi ------
Afisa mwingine mwandamizi wa kundi la Hamas auwawa katika shambulizi la Israel-------Na Makamu wa kwanza wa rais wa Sudan Kusini Riek Machar akamatwa.