##Wafanyabiashara wawili raia wa Canada ambao walikuwa wamefungwa nchini China wameachiwa huru## Zaidi ya watu 350,000 wameuawa katika mzozo wa Syria ambao umedumu kwa muongo mmoja.Na wagombea ukansela wanadi sera zao katika dakika za lala salama kuelekea uchaguzi wa kesho Jumapili.