++Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ashikiliwa kwa muda katika gereza la Fulton jimboni Georgia baada ya kujisalimisha. +++Rais wa Urusi Vladimir Putin avunja ukimya kuhusu ajali ya ndege inayoripotiwa kumuua Prigozhin.+++Viongozi wa Marekani na Ukraine wafanya mazungumzo kuhusu mafunzo ya kurusha ndege za F-16.