Mamlaka ya udhibiti wa taarifa nchini Uingereza, yafanya ukaguzi katika ofisi kuu za kampuni ya ushauri ya Cambridge Analytica. Uhispania yatoa waranti ya kukamatwa kwa wanasiasa wa Catalonia. Na Kundi la IS ladai kuhusika na shambulio la nchini Ufaransa.