Syria yasema vikosi vyake vimeanza kujiondoa katika eneo lililokumbwa na machafuko la Sweida +++Chama kingine chenye misimamo mikali chajindoa serikali ya muungano ya Netanyahu +++Trump ajibu ukosoaji kuhusu kushindwa kutolewa kwa nyaraka za kesi ya Jeffrey Epstein.