Muhtasari: Israel yaonya juu ya mkururo mpya wa makombora yanayovurumushwa kutokea Iran. Rais Trump asema ana matumaini ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Iran na Israel. Viongozi wa kundi la G7 wawasili Canada kwa mkutano wa kilele utakaogubikwa na mzozo wa Mashariki ya Kati.