Wataalmu wa Umoja wa Mataifa wanatarajia hii leo kufanya ukaguzi wa kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia. Umoja wa Mataifa, waionyeshea kidole China kuhusu kuzuiliwa kwa watu wa jamii ya Uyghur huko Xinjiang. Mapigano yaenea Ethiopia huku Tigray ikilengwa katika shambulio la anga.