Uturuki yaitaka Marekani kutoendelea kuwaunga mkono wapiganaji wa Kikurdi nchini Iraq na Syria, Saudi Arabia yasema haitanunuwa tena silaha kutoka Ujerumani na Australia yaionya Korea Kaskazini dhidi ya kuligeuza eneo la Rasi ya Korea kuwa la vitisho na vita.