Daniel Gakuba
15 Septemba 2020Matangazo
-Wabunge wa Uingereza wameunga mkono muswada wenye utata, unaokiuka makubaliano ya Brexit kati ya nchi hiyo na Umoja wa Ulaya.
-Maafisa wa Afghanistan na Wataliban kufanya mazungumzo ya ana kwa ana kwa mara ya kwanza mjini Doha.
-Korti ya katiba ya Ivory Coast yampa rukhsa rais Alassane Ouattara kuwania muhula wa tatu.