Daniel Gakuba
25 Mei 2020Matangazo
Marekani imepiga marufuku wasafiri kutoka Brazil katika hatua za kupamba na mripuko wa virusi vya corona.
Tume ya uchaguzi ya Burundi yatarajiwa kutangaza leo matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais uliofanyika wiki iliyopita.
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amefikishwa mahakani, na kuvishambulia kwa maneno vyombo vya sheria.