Daniel Gakuba
14 Mei 2019Matangazo
Mvutano wa kibiashara baina ya China na Marekani wachukua sura mpya baada ya China kulipiza kisasi kwa vikwazo vya kiushuru ilivyowekewa.
Waandamanaji watano na afisa wa jeshi wauawa katika makabiliano mapya nchini Sudan.
Sri Lanka yatangaza hali ya hatari baada ghasia zilizolenga miskiti na biashara za Waislamu.