Daniel Gakuba
11 Septemba 2018Matangazo
-Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC ikiwa itathubutu kuwachunguza wanajeshi wake.
-Urusi na China zaanzisha mazoezi ya kijeshi, makubwa zaidi tangu kwanza kwa karne hii.
-Wavamizi wenye silaha waiteketeza ofisi kuu ya Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Libya