Bodi ya uchaguzi ya Uturuki imetupilia mbali maombi ya upinzani kutaka kufutwa kwa matokeo ya kura ya maoni iliypigwa Jumapili, watu wasiopungua 2 wameuawa katika maandamano ya kumpinga rais wa Venezuela Nocolas Maduro, na kiongozi wa chama kinachopinga wahamiaji cha AfD cha hapa Ujerumani, Frauke Petry asema hatagombea katika uchaguzi wa Septemba.