Misaada ya kibinaadamu kwa ajili ya watu wa Venezuela imewasili kwenye mpaka wa Venezuela na Colombia // Umoja wa Mataifa umesema mauaji Jamal Khashoggi yalipangwa na kutekelezwa na maafisa wa Saudi Arabia // Iran imezindua makombora ya masafa ya kati yenye uwezo wa kuruka umbali wa kilomita 1,000