Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameyataka mataifa ya kigeni kuacha kupora rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo pamoja na kulinyonya bara la Afrika//Idhaa ya Kiswahili ya DW leo inaadhimisha miaka 60 tangu ilipoanza rasmi kurusha matangazo yake//Mkutano wa kilele kati ya Ukraine na Umoja wa Ulaya unatarajiwa kufanyika mjini Kiev, baadae wiki hii