You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Picha: DW
Sylvia Mwehozi
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Sylvia Mwehozi
Taarifa zilizoonesha na Sylvia Mwehozi
Usafiri wa anga barani Afrika ni salama kiasi gani?
Hivi karibuni Afrika imeandamwa na msururu wa ajali za ndege ndogo za helikopita kuanzia huko Ghana hadi Kenya.
WHO: Kifua Kikuu kinaua karibu watu mil 1.5 kwa mwaka
Shirika hilo la afya la Umoja wa Mataifa WHO, lilisema kuwa Kifua Kikuu kinaua takribani watu milioni 1.5 kila mwaka.
Je, kukamatwa kwa Duterte kutazua tafrani nchini Ufilipino?
Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte, alikamatwa Jumanne kwa waranti ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ya ICC.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Sylvia Mwehozi
Taarifa na Sylvia Mwehozi
Ulaya na Iran kuendeleza mazungumzo ya nyuklia
Ulaya na Iran kuendeleza mazungumzo ya nyuklia
Tangazo hilo limetolewa baada ya mazungumzo ya simu kati ya wanadiplomasia wa mataifa matatu na Iran siku ya Ijumaa.
Israel kuidhinisha mpango wa kudhibiti Mji wa Gaza
Israel kuidhinisha mpango wa kudhibiti Mji wa Gaza
Juhudi za wapatanishi Misri na Qatar, pamoja na Marekani, hadi sasa hazijafanikiwa kupata usitishaji vita wa kudumu.
Maandamano nchini Israel yanaashiria nini kwa serikali?
Maandamano nchini Israel yanaashiria nini kwa serikali?
Maandamano yamehanikiza Israel mwishoni mwa juma, raia wengi wanataka vita vikomeshwe na mateka kuachiliwa. Katika kuitizama kwa kina hali inayoendelea huko, mwenzangu Sylvia Mwehozi alizungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa Ibrahim Rahbi, kwanza alimuuliza maandamano haya makubwa yanatoa shinikizo kiasi gani kwa serikali ya Israel?
Viongozi wa Ulaya kuambatana na Zelensky Washington
Viongozi wa Ulaya kuambatana na Zelensky Washington
Hatua hiyo inafuatia mazungumzo ya pande mbili yaliyofanyika Ijumaa kati ya Trump na Rais Vladimir Putin huko Alaska.
Mkutano wa Alaska umewavunja moyo Waukraine
Mkutano wa Alaska umewavunja moyo Waukraine
Waukraine wengi walikuwa na matumaini ya mkutano wa kilele wa Alaska kati ya Putin na Trump na sasa wamekatishwa tamaa.
15.08.2025 -Taarifa ya Habari ya Asubuhi
15.08.2025 -Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais Putin asifu juhudi za dhati za Marekani za kutaka kumaliza vita vya Ukraine kabla ya kukutana na Trump baadae leo///Ujerumani yakataa mipango ya Israel ya ujenzi wa makazi Ukingo wa Magharibi///Mazungumzo ya UN kuhusu mkataba wa plastiki yarefushwa.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo