Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto nchini Ujerumani yanaendelea kati ya kambi ya kihafidhina ya CDU/CSU pamoja na chama cha SPD takriban wiki sita tangu kufanyike uchaguzi. Hata hivyo bado kuna mambo mengi ambayo hadi sasa wameshindwa kuafikiana. Ungana na Bakari Ubena.