You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Suleman Mwiru
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Suleman Mwiru
Taarifa zilizoonesha na Suleman Mwiru
Nani anadhibiti eneo gani nchini Syria?
Vikosi vya serikali viliondoka katika maeneo yenye Wakurdi wengi kaskazini na mashariki mwa Syria.
Sudan hali ni mbaya na hakuna ishara ya vita kumalizika
Hali nchini Sudan bado ni tete, wapiganaji wa RSF wamewaua raia wengi kikatili na jeshi likizidisha mashambulizi.
Mashirika ya kiutu yaonya juu ya kitisho cha njaa duniani
Hali mbaya ya hewa ni sababu kuu huku ukosefu wa usawa wa kiuchumi na madeni makubwa katika nchi.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Suleman Mwiru
Taarifa na Suleman Mwiru
Kasper Hjulmand: Kocha mpya Bayer Leverkusen
Kasper Hjulmand: Kocha mpya Bayer Leverkusen
Wiki iliyopita Leverkusen ilimfuta kazi Ten Hag baada ya mechi mbili za Bundesliga.
Ni taabu kupata maji ya kunywa kaskazini mwa Kenya
Ni taabu kupata maji ya kunywa kaskazini mwa Kenya
Kaskazini mwa Kenya, kaunti za Turkana na Marsabit zinatatizika kupata maji safi na salama. Maji ya chumvi katika Ziwa Turkana katikati yao yamekuwa si chanzo cha maji ya kunywa na kwamba ni hatari kwa afya za watumiaji. UN inatafuta njia za kuwasaidia watu katika vijiji vinavyotaabika na maji. #kurunzi
Zaidi ya watu 200 waangamia kwa mafuriko Pakistan na India
Zaidi ya watu 200 waangamia kwa mafuriko Pakistan na India
Kuna hofu kuwa idadi hiyo itaendelea kuongezeka kwa sababu idadi isiyojulikana ya watu bado hawajulikani waliko.
Mkuu wa Hezbollah aonya mpango wa kupokonywa silaha
Mkuu wa Hezbollah aonya mpango wa kupokonywa silaha
Qassem ameilaani hatua hiyo na kuitaka serikali ya Lebanon kujiandaa kwa machafuko yanayoweza kutokea.
Jeshi la Ukraine laongeza vikosi mashariki kuidhibiti Urusi
Jeshi la Ukraine laongeza vikosi mashariki kuidhibiti Urusi
Zelensky amesema uamuzi huo umefanywa ili kuimarisha eneo hilo na maeneo mengine yaliyopo katika mkoa wa Donetsk
Trump na Putin kukutana muda mfupi ujao
Trump na Putin kukutana muda mfupi ujao
Rais Vladimir Putin wa Urusi anatarajiwa kuwasili Alaska muda mfupi ujao kukutana na mwenzake wa Marekani, Donald Trump.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo