SPOTI: Dortmund yaicharaza Berlin
4 Aprili 2005Matangazo
Katika spoti, mechi mbili za Bundesliga zilizofanyika hapo jana ,timu ya Dortmund iliishinda Berlin kwa mabao 2 kwa moja na timu ya Monchen-glad-bach na Bochum zilitoka sare ya mabao mawili kwa mawili.
Na katika mashindano ya mbio za magari ya langalanga dereva wa uhispania Fernando Alonso alijinyakulia ushindi wa kombe la Bahrain grand Prix.
Muitaliano Jarmo Trulli aliendesha gari aina ya Toyota alimaliza wa pili akifuatiwa na Kimi Raikonnen katika nafasi ya tatu.