Kipindi cha Maoni mbele ya meza ya Duara hii leo kinaangazia kwa mapana kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu, IS. Mjadala unaangazia kwa upana je, kifo chake kinamaanisha nini katika kile kinachoitwa vita dhidi ya ugaidi duniani? Ni mengi yamejadiliwa hapa. Ungana na Mohammed Khelef na wana jopo kujua zaidi.