You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tedesco: Sina hofu na ukame wa mabao wa Lukaku
Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku, hajafunga katika mashindano yanayoendelea ya Euro 2024.
EURO 2024: Mbappe ahofia wapinzani kuilenga pua yake
Nahodha wa Ufaransa Kylian Mbappe hatoshangaa iwapo pua yake iliyovunjika italengwa na wapinzani katika mechi yao ya
EURO 2024: Wenyeji Ujerumani watakiweza kishindo cha Uhispania?
Ujerumani itapambana na Uhispania katika robo fainali ya EURO 2024 mnamo Julai 5 huko Stuttgart. Kulingana na mlinda lango wa timu ya taifa ya Georgia, Giorgi Mamardashvili ambaye timu yake ililazwa na Uhispania 4-1 Jumapili, mabingwa hao wa dunia mwaka 2010, ndio watakaoibuka na ubingwa. Jacob Safari amezungumza na mchambuzi Sekione Kitojo kuhusu jinsi mambo yatakavyokuwa katika robo fainali.
EURO 2024: Slovakia yalenga "kuipiga" England
Kocha wa Slovakia Francesco Calzona anaamini England wana kikosi bora.
EURO 2024: Germany yatinga robo fainali
Wenyeji walipata ushindi wa 2-0 dhidi ya Denmark licha ya mechi kusitishwa kwa muda kutokana na dhoruba na radi.
Kitisho cha hali ya hewa kwa mechi ya Germany na Denmark
Hali mbaya ya hewa inaweza kuathiri mechi ya Ujerumani dhidi ya Denmark
Nagelsmann atumai Rudiger atacheza dhidi ya Denmark
Ujerumani itakabana koo na Denmark mjini Dortmund wakati Uswisi ikivaana na mabingwa watetezi Italia mjini Berlin.
Georgia yaandika historia katika mashindano ya Euro 2024
Waliwafunga mabingwa hao wa zamani wa Ulaya mabao 2 – 0 na sasa watakutana na Uhispania katika hatua ya mchujo.
Euro 2024: Timu 16 zajipanga katika hatua ya mchujo
Ukraine inakuwa timu ya kwanza kutolewa ikiwa na pointi nne tangu mashindano hayo kuanza katika muundo wake wa sasa.
Nahodha wa Real Madrid Nacho atangazwa kuondoka klabuni humo
Nacho alijiunga na akademi ya Madrid mwenye umri wa miaka 10.
Italia yatoka sare na Croatia, Albania yafungwa na Uhispania
Uhispania iliifunga Albania 1-0 huku Italia ikiilazimisha Croatia sare ya 1-1 katika dakika za mwisho.
EURO 2024: Uhispania yasaka ufahari
De la Fuente amesema wanahitaji kushinda kila mchezo, na kwamba ushindi ni fahari ya kutambuliwa.
EURO 2024: Varga avunjika "mishipa mingi" usoni
Varga anatarajiwa kufanyiwa upasuaji baada ya kukatika "mishipa ya paji la uso."
EURO 2024: France yalazimishwa sare ya 0-0 na Netherlands
Ufaransa ilishindwa kutumia nafasi za wazi ilizozipata kufunga magoli wakati ikicheza bila ya Kylian Mbappe.
Wachezaji wa Germany watapokea Euro elfu 50 kutoka kwa DFB
Pesa ya zawadi ni jumla ya Euro milioni 331 na imegawanywa kulingana na ushiriki na matokeo ya uwanjani.
EURO 2024: Uswisi wafuzu baada ya kutoka sare na Ujerumani
Leo Jumatatu, Albania watashuka dimbani na Uhispania, huku Croatia wakimenyana na Italia.
Euro 2024 yatoa faida maradufu kwa shirika Deutsche Bahn
Shirika la reli la Ujerumani linanufaika kwa ongezeka la abiria katika kipindi hiki cha Euro 2024
Euro2024: Mbappé kukosa mechi na Uholanzi
Mbappé hatokuwepo katika kikosi cha mwanzo katika mechi dhidi ya Uholanzi katika michuano ya Euro 2024.
Spain yaipiku Italia kusonga mbele EURO 2024
England wamepata matokeo ya kuvunja moyo kwa kulazimishwa sare ya 1- 1 na Denmark.
Ujerumani yafuzu duru ya mtoano kombe la EURO
Mbungi hiyo kali ya kundi A ilichezwa katika dimba la MHP Arena mjini Stuttgart.
Germany yafuzu kwa duru ya mtoano kombe la EURO
Nagelsmaann amesema ana furaha ingawa haikuwa mechi nyepesi dhidi ya wapinzani wagumu
Conceicao aipa ushindi Portugal kwa bao la dakika za mwisho
Ureno ilidhibiti mchezo japo ilishindwa kubuni nafasi za wazi na ilihitaji umahiri wa Conceicao kupata ushindi.
EURO 2024: Mbappe avunjika pua katika ushindi wa France
Mbappe aligongana na beki wa Austria Kevin Danso walipokuwa wakipambania mpira hewani katika mechi ya kwanza ya kundi D.
Kombe la Ulaya inaendelea kushika kasi
Michuano ya Kombe la Ulaya inaendelea kushika kasi. Je timu gani zinapigiwa upatu zaidi kushinda kombe la mwaka huu?
England yapata ushindi wa tabu dhidi ya Serbia
England inateremka tena uwanjani siku ya Alhamisi kucheza dhidi ya Denmark katika uwanja wa Deutsche Bank Park.
Weghorst aipa ushindi wa dakika ya mwisho Uholanzi
Katika michuano ya soka ya Mataifa ya Ulaya ya EURO 2024 Jumapili Uholanzi ilipata ushindi wa 2-1 katika mechi iliyochez
Uholanzi yailaza Poland mabao 2-1
Bao la Poland lilipachikwa wavuni na Adam Buksa kunako kipindi cha kwanza
Ujerumani yaibamiza Scotland 5-1 ufunguzi michuano ya EURO
Wenyeji wa kombe la Euro 2024 Ujerumani imefungua pazia michuano hiyo kwa ushindi wa bao 5-1 dhidi ya Scotland.
Uchambuzi wa michuano ya Euro 2024
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu hatimaye mashindano ya Ubingwa wa Ulaya - UEFA EURO 2024 yanafungua pazia lake Ijumaa 14.06.2024 hapa Ujerumani. Wenyeji Ujerumani wanatumai kupambana vilivyo na kunyakua kombe hilo kutoka kwa mabingwa watetezi Italia. Ufuatao ni uchambuzi wa Bruce Amani na Babu Abdalla kutoka dawati la michezo la DW Kiswahili.
Ujerumani yachuana na Scotland mechi ya ufunguzi ya Euro2024
Michuano ya Euro 2024 ni michuano ya pili kwa Scotland tangu 1998
Michuano ya Kombe la EURO 2024 kufungua pazia leo Ujerumani
Michuano ya soka ya mataifa ya Ulaya, EURO 2024, inafungua pazia leo nchini Ujerumani.
Viwanja vitakavyotumika kwenye Euro 2024
Viwanja 10 vitakavyotumika kwenye michuano ya Euro 2024.
Maamuzi ya VAR kufafanuliwa kwa mashabiki katika Euro 2024
Hayo yamesemwa na Shirikisho la vyama vya kandanda Ulaya - UEFA, kabla ya michuano ya Euro 2024 nchini Ujerumani.
Ujerumani kuanza kombe la EURO na Scotland
Nyota wa tenis raia wa Uhispania Carlos Alcaraz ashinda taji la mashindano ya tenis ya Paris Open.
Habeck: Euro 2024 ni zawadi kwa Ujerumani
Ujerumani ni mwenyeji wa Michuano ya Euro ya mwaka 2024 inayofanyika kwenye miji 10.
Nagelsmann asema hataruhusu mjadala juu ya makosa ya Neuer
Nagelsmaann ameasema Neuer atakuwa namba moja kwenye michuano ya Euro inayoanza Ijumaa ijayo, Ujerumani.
EURO 2024: Unachopaswa kufahamu
Wabashiri wamewaweka makamu bingwa wa Euro 2020 England mbele ya makamu bingwa wa Kombe la Dunia Ufaransa na Ujerumani.
07.06.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa nyingine za ulimwengu asubuhi hii ni Marekani kuipatia Ukraine msaada mpya wa kijeshi wa dola milioni 225. Jeshi la Sudan laapa kujibu vikali shambulizi lililofanywa na wanamgambo wa RSF na kuwaua watu zaidi ya 100 na Chama Tawala nchini Afrika Kusini cha ANC kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Sikiliza zaidi.
Polisi wa Ujerumani kufanya kaguzi kuelekea Euro 2024
Michuano ya Euro itaanza kufanyika Juni 14 na inatarajiwa kumalizika Julai 14, 2024.
Ufaransa, England zapigiwa upatu kubeba Euro 2024
Mataifa 24 yanashiriki michuano hiyo ya soka ikiwemo Georgia inayoshiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza.
Ureno yaifunga Finland huku Italia ikikabana koo na Uturuki
Ureno yaifunga Finland huku Italia ikikabana koo na Uturuki
Faeser: Ujerumani kuwa "mwenyeji bora" wa Euro 2024
Ujerumani imeshuhudia mjadala mkubwa wa kisiasa kutokana na kitisho cha usalama
EURO 2024: Maandalizi yaendelea kushika kasi
Ujerumani ina matumaini ya kuwavutia mashabiki zaidi wa nyumbani na kurudisha hadhi yao kimataifa.
Uhispania yapania kuzima kelele za RFEF
Timu ya taifa ya Uhispania itawasili Ujerumani wakitaka kujiimarisha tena kama washindani wakuu wa kombe la Euro.
EURO 2024: Nagelsmann akiandaa kikosi chake
Nahodha wa Ujerumani Ilkay Gündogan, Florian Wirtz, Robert Andrich na Jonathan Tah wajiunga kwa mazoezi.
EURO 2024: Kikosi cha Uholanzi
Kocha wa timu ya taifa ya kandanda ya Uholanzi Ronald Koeman ataja kikosi cha EURO 2024.
Toni Kroos kutundika daluga baada ya EURO 2024
Kroos amekuwa na mchango muhimu kwa timu ya taifa na atawacha historia itakayokumbukwa katika sola la Ujerumani.
Ujerumani yataja kikosi cha kombe la EURO 2024
Ujerumani itafungua pazia watakapokipiga na Scotland mnamo Juni 14 katika dimba la Allianz Arena mjini Munich, huku fainali ikitarajiwa kuchezwa Julai 14 katika uwanja wa Olympiastadion mjini Berlin. Sikiliza mahojiano kati ya John Juma na Josephat Charo wa dawati la michezo la DW Kiswahili.
Ujerumani yatangaza kikosi cha michuano ya Euro 2024
Ujerumani itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo majira ya joto, imetoa orodha kamili ya wachezaji watakaoiwakilisha.
Michuano ya Kombe la EURO 2024 yakaribia
Zikiwa zimesalia wiki chache kuanza kwa mashindano EURO 2024 Juni 14 yatakayofanyika hapa Ujeurmani tayari baadhi ya mataifa yameanza kutangaza vikosi vyao. Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Nancy Faeser amesema vikosi vya usalama vimeajiandaa vyema kwa ajili ya mashindano hayo. Sikiliza mahojiano kati ya Suleman Mwiru na Josephat Charo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 11
Ukurasa unaofuatia