You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Israel yatumia mamilioni ya Yuro kueneza propaganda
Israel inadaiwa kutumia wakala wake kuendesha propaganda zenye lengo la kushawishi maudhui na mitizamo ya umma
Afrika Kusini yapokea mkopo wa €500 milioni kutoka Ujerumani
Mkopo wa euro milioni 500 kutoka benki ya maendeleo inayomilikiwa na serikali ya Ujerumani kutolewa kwa Afrika Kusini.
Ujerumani isiyo na mabeki kukabiliana na Uhispania
Beki wa timu ya taifa ya kina dada ya Ujerumani, Sarai Linder, hatoshiriki mechi ya nusu fainali Ujerumani itakapocheza
Euro: Uswisi ina kibarua kigumu dhidi ya Uhispania
Beki wa Aston Villa Noelle Maritz amesema anaamini kwamba mashabiki wa nyumbani wataisaidia kuweka shinikizo.
Ujerumani kutoa mchango euro milioni 10 kwa Benki ya Dunia
Mawaziri wa fedha wa nchi za G20 wanakutana kwa siku mbili mjini Durban, Afrika Kusini.
UEFA wanawake yataka mechi zaidi kwenye viwanja vikubwa
Soka la wanawake bado halina mwamko mkubwa na uwekezaji mkubwa bado unasalia kwenye soka la wanaume
Ujerumani yaipa Tanzania bilioni 78 kusaidia miradi ya maji
Msaada huo utawezesha wataalamu katika maeneo hayo kupata mbinu na uwezo mpya wa kuendeleza utalii na uhifadhi
EURO 2025: Ujerumani kukosa huduma za Gwinn
Gwinn, hatashiriki katika michuano ya Euro 2025 baada ya kuumia goti la kushoto.
Umoja wa Ulaya kuipa Misri msaada wa euro bilioni nne
Fuko la Fedha la Kimataifa, IMF, limeipa Misri mkopo
Umoja wa Ulaya waahidi euro bilioni moja kwa Ukraine
Ujerumani imeahidi kuipa Ukraine msaada zaidi wa euro milioni 40.
Wafadhili waahidi euro milioni 800 kwa ajili ya Sudan
Sudan iko katika njiapanda. Jumuiya ya kimataifa yaahidi misaada ya kihistoria huku hofu ya kugawanyika ikitanda.
Umoja wa Ulaya kutoa Euro bilioni 1.6 kwa Palestina
Umoja wa Ulaya watangaza msaada wa Euro bilioni 1.6 kwa watu wa Palestina
Washirika wa Ukraine waahidi msaada wa euro bilioni 21
Washirika wa Ukraine katika jumuiya ya NATO wameahidi kuendelea kuisaidia Ukraine.
NATO NA EU kuipatia msaada zaidi wa kijeshi Ukraine
Ukraine yaomba kupewa mifumo zaidi ya ulinzi ya Patriot
Le Pen angojea hukumu ya ubadhirifu wa euro milioni saba
Marine Le Pen anatazamiwa kusomewa hukumu ya kesi yake ya ubadhirifu wa fedha.
Ujerumani kutoa msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukaine
Hatua hiyo inajiri wakati Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump ikiwa umesitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Ujerumani kuelekeza mabilioni ya yuro katika jeshi
Ujerumani inapanga kupitisha mpango mkubwa wa matumizi kwa ajili ya jeshi na miundombinu na kufuta kikwazo cha deni.
Ujerumani yawasilisha ombi la Euro 2029 kwa wanawake
Ujerumani inaungana na mataifa mengine matano ambayo tayari yalikuwa yametangaza nia hiyo.
Kwa nini Ulaya Kusini inaongoza ukuaji wa ukanda wa euro?
Nchi 20 zinazotumia euro hazina maendeleo, na matatizo ya uchumi nchini Ujerumani yanaongeza shida hizo.
Ufaransa yaahidi euro milioni 100 kuisaidia Lebanon
Rais Emmanuel Macron amesema msaada mkubwa unahitajika kuisadia nchi hiyo inayokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi.
Umoja wa ulaya kuikopesha Ukraine Euro bilioni 35
Umoja wa ulaya kuikopesha Ukraine Euro bilioni 35
Ujerumani: Polisi wakamata tani 2 za madawa ya kokeini
Watu zaidi ya 10 wamekamatwa wakituhumiwa kuhusishwa na tukio hilo.
EU yatenga bilioni 10 kwa nchi zilizoathiriwa na mafuriko
Ursula von der Leyen amesema kiasi euro bilioni 10 zitatolewa kwenye mfuko wa mshikamano wa Umoja wa Ulaya.
Toni Kroos mwanasoka bora wa mwaka wa Ujerumani
Toni Kroos mwanasoka bora wa mwaka wa Ujerumani
Southgate ajiuzulu kama kocha wa England
England ilipoteza fainali ya pili mfululizo ya mashindano ya Ulaya baada ya kupigwa 2 - 1 na Uhispania.
Shangwe na nderemo baada ya La Roja kuchukua ubingwa wa EURO
Uhispania ilishinda mechi zake zote saba bila ya kuhitaji penalti, hiyo ikiwa rekodi katika michuano ya EURO.
Uhispania yabeba kombe la Ulaya EURO 2024 kwa ushindi wa 2-1
Uhispania ndio mfalme mpya wa soka barani Ulaya baada ya kupata ubingwa kwa kupiga England bao 2-1.
Uhispania yanyakua ubingwa wa EURO 2024
Uhispania ndio mfalme mpya wa soka barani Ulaya baada ya kupata ubingwa kwa kupiga England bao 2-1.
Euro 2024: Ni England au Uhispania leo?
England na Uhispania, zinakutana katika mechi ya kuwania ubingwa katika michuano ya Euro 2024.
Mainnoo: Hakuna kuangalia nyuma hadi 'kazi ikamilike'
Lamine Yamal na Jude Belingham wanatarajiwa kuzibeba timu zao katika mchezo huo wa fainali ya michuano ya Euro 2024.
UEFA yaridhishwa na kiwango cha maandalizi ya Euro 2024
Kallen vile vile ameusifu mfumo wa reli wa Ujerumani ingawa shirika la treni la Ujerumani Deutsche Bahn.
Maoni: Tathmini ya fainali ya kombe la EURO 2024
Uhispania inakwaana na England katika mechi ya fainali ya michuano ya kombe la EURO 2024 katika dimba la Olympiastadion mjini Berlin siku ya Jumapili (14.07.2024) Nani zaidi? Je, hamasa ya mashabiki ikoje kuelekea fainali hii na imekuwaje katika mashindano ya mwaka huu? Ungana na Josephat Charo akiongoza kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.
England yatinga fainali za Euro 2024
England itakwaana na Spain siku ya Jumapili (Julai 14, 2024) kwenye fainali za Euro 2024.
England na Uholanzi nani zaidi nusu fainali za EURO 2024?
England na Uholanzi nani zaidi nusu fainali za EURO 2024?
Kocha wa Spain asifu uwezo wa kikosi chake Euro 2024
Kocha wa Uhispania amesifu ubora wa timu yake baada ya kuishanda Ufaransa katika nusu fainali Euro 2024.
10.07.2024: Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Spain yaishinda France 2-1 kufika fainali ya EURO 2024
Uhispania watakabiliana na ama England au Uholazi siku ya Jumapili mjini Berlin.
Spain na France kutunishiana misuli nusu fainali
Ufaransa imekosolewa kwa kuonesha mchezo usiovutia.
09.07.2024. Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Mbappe awekewa matumaini kuisaidia Ufaransa kombe la EURO
Ufaransa ina matumaini nahodha wao Kylian Mbappe atafanya maajabu katika nusu fainali ya kombe la EURO 2024 dhidi ya Uhispania. Winga wa Ujerumani Leroy Sane afanyiwa upasuaji baada ya Ujerumani kutolewa katika michuano ya EURO.Na nyota wa Marekani Emma Navarro afuzu kwa robo fainali ya mashindano ya tenis ya Wimbledon.
Nusu fainali ya EURO 2024 itakuwa patashika
England ilisonga mbele kupitia mikwaju ya penalti ya 5-3 katika mchezo uliowakutanisha na timu ya taifa ya Uswisi.
Ni Germany na Spain, robo fainali ya EURO 2024
Hii ni robo fainali ya kwanza kwa Ujerumani katika michuano mikubwa katika kipindi cha miaka minane.
Euro 2024: Spain yawatoa wenyeji Germany robo fainali
Uhispania sasa itakumbana na Ufaransa kwenye mechi ya nusu fainali katika michuano ya Euro 2024.
Watu 830,000 wakaguliwa mipakani Ujerumani kwa siku 21
Kila siku, maafisa wa polisi 22,000 wanamwagwa barabarani na katika maeneo ya mipakani ili kushika doria .
UEFA yaunda mfumo wa kuripoti ukiukwaji wa haki za binadamu
Lakini wadau wa soka wanasema utaratibu huo wa malalamiko umekuwa ukijikongoja na kutotangazwa ipasavyo.
EURO 2024: Turkey na Netherlands zatinga robo fainali
Nchi zote mbili za Uturuki na Uholanzi zimefuzu hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 16.
Portugal kuvaana na France robo fainali ya Euro
Ufaransa wameifunga Ubelgiji kupitia bao la kujifunga huku Ureno ikiishinda Slovenia kupitia mikwaju ya penalti.
Ni France ama Belgium kusonga mbele?
Tukizungumzia ushabiki basi uko hapa kati ya majirani Ubelgiji na Ufaransa. Na muda mfupi ujao wanakutana pale Dusseldorf Arena katika mechi ya mtoano ya michuano ya #Euro2024. Nani ni nani? Mbappe ama Lukaku? Nawe nipe utabiri wako.
Bellingham: Natumai nimewafunga mdomo wakosoaji
England wamefuzu robo fainali baada ya kuponea chupuchupu mikononi mwa Slovakia walipopata ushindi wa 2-1.
Euro 2024: Je, Portugal watalipiza kisasi kwa Slovenia?
Mechi ya pili ya mtoano Jumatatu itawapatanisha Ureno na Slovenia. Mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Frankfurt.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 11
Ukurasa unaofuatia