You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Salma Said
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Salma Said
Taarifa zilizoonesha na Salma Said
Wingi wa wanawake na nyota njema kwenye uongozi, Zanzibar
Pazia la uchukuaji wa fomu lilifunguliwa Agosti 28 kutarajiwa kufungwa Septemba 10
Smart Class Zanzibar: Mapinduzi ya kidijitali shuleni
Zanzibar yabadili elimu kwa Smart Class! Ufaulu wafikia 99.8% na ari ya kujifunza yaongezeka.
Mamas of Zanzibar: Kutunza utamaduni, kujenga maisha
Wanawake wa Zanzibar wamegeuza urithi wa utamaduni wao kuwa darasa la kipekee kwa wageni, wakijenga maisha bora.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Salma Said
Taarifa na Salma Said
Zanzibar - Kisiwa maarufu cha viungo duniani
Zanzibar - Kisiwa maarufu cha viungo duniani
Zanzibar inasifika kwa uwepo wa mashamba ya viungo ambapo wageni hujifunza kuhusu karafuu, mdalasini, vanila na viungo vyingine vinavyokifanya kisiwa hicho kuwa kitovu cha biashara ya viungo kimataifa. Viungo hivyo hutumika katika tiba, mapishi na ni mojawapo ya utamaduni wa jadi visiwani Zanzibar. Makala ya Utamaduni na Sanaa inamulika jumba la makumbusho la viungo visiwani humo.
Tanzania yawarejesha raia waliokuwa Israel
Tanzania yawarejesha raia waliokuwa Israel
Israel na Iran wamezusha hali ya sintofahamu hivi karibuni baada ya kushambuliana kwa makombora kwa siku kadhaa
Makala yetu leo: Utalii katika mwezi wa Ramadhan Zanzibar
Makala yetu leo: Utalii katika mwezi wa Ramadhan Zanzibar
Wakati wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani maisha hubabadilika Zanzibar! Biashara nyingi hupunguza shughuli mchana, mikahawa hufungwa, na wenyeji hujikita katika ibada. Lakini vipi kuhusu sekta ya utalii? Wageni wanafanya marekebisho gani wanapowasili hapa? Fuatana na Salma Said, akiangazia jinsi utalii na Ramadhani vinavyoingiliana Zanzibar!
Sumaiyya: Malkia wa barabara Zanzibar
Sumaiyya: Malkia wa barabara Zanzibar
Je, unaweza kubadili fani yako ulioipenda katikati mwa kilele kufuata fursa ya fedha na utofauti? Mtazame Sumaiyya alieipa kisogo taaluma ya habari na mawasiliano kwa ajili tu ya kufata fursa na utofauti.
Msimamo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar
Msimamo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar
Ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya uchaguzi kufanyika mwakani, mwandishi wetu wa Zanzibar Salma Said, amezungumza na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, kujua je juhudi gani ambazo wamezifanya kuinusuru serikali ya umoja wa kitaifa kabla kuporomoka?
Mawaziri wa EAC wapo Zanzibar kutatua migogoro ya kikanda
Mawaziri wa EAC wapo Zanzibar kutatua migogoro ya kikanda
Kikao hicho maalum kinanuwia kuweka mikakati ya pamoja ya kusuluhisha mivutano kwenye kanda hiyo ya mataifa 8.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo