You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Salma Mkalibala
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Salma Mkalibala
Taarifa zilizoonesha na Salma Mkalibala
Mchakato wa kuchimba visima vipya vya gesi waanza Mtwara
Serikali ya Tanzania yaanza mchakato wa kuchimba visima vipya vya gesi asilia katika Kitalu cha Mnazi Bay.
Unafahamu kuwa makengeza yanaweza kutibiwa?
Jicho ni moja kati ya viungo muhimu kwenye mwili wa binadamu kinachomsaidia kutawala mazingira yake.
Ongezeko la magonjwa ya kinywa na meno Tanzania
Moja ya maeneo muhimu ya mwili wa mwanadamu ni kinywa, na kushindwa kuilinda ipasavyo afya yako ya kinywa kunachangia ku
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Salma Mkalibala
Taarifa na Salma Mkalibala
Ugunduzi wa Kifaa cha kuonya kutokea kwa tetemeko la ardhi
Ugunduzi wa Kifaa cha kuonya kutokea kwa tetemeko la ardhi
Mara nyingi utatuzi wa matatizo katika jamii ndio chachu ya kubuniwa kwa programu tofauti za kiteknolojia ili kuwasaidia wahitaji. Ugunduzi wa teknolojia mpya una nafasi ya kuleta faida kijamii, kiuchumi, kimazingira na mambo mengineyo.
Mpango wa 'Elimu haina mwisho' kwa wasichana
Mpango wa 'Elimu haina mwisho' kwa wasichana
Elimu haina mwisho, ni mradi maalum wa kuwasaidia wasichana Tanzania, ambao hawajamaliza kidato cha nne, waliositisha masomo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo ya kupata ujauzito, ufukara ndani ya familia au kuugua kwa muda mrefu. Mradi huu unaratibiwa na Wizara ya Elimu nchini humo.
Nini kinasababisha mdondoko wa elimu Mtwara?
Nini kinasababisha mdondoko wa elimu Mtwara?
Mkoa wa Mtwara uliopo Kusini Mashariki mwa Tanzania ni miongoni mwa mikoa inyokabiliwa na changamoto ya elimu. Vijana tugutuke inaangazia athari za mdondoko wa elimu katika mkoa huo na tunauliza je, nini kinasababisha changamoto hiyo?
Unaujua upishi wa visinia?
Unaujua upishi wa visinia?
Makala ya Wanawake na Maendeleo inaangazia juhudi za mwanamke aitwaye Flora Kiunzi, aliyethubutu kuacha kazi benki na kugeukia upishi na hasa ule wa visinia mkoani Mtwara, Tanzania. Salma Mkalibala alizungumza nae.
Maafisa wawili wa polisi Tanzania wahukumiwa kifo
Maafisa wawili wa polisi Tanzania wahukumiwa kifo
Maafisa wa polisi walimuua mfanyabiashara huyo Mussa Hamisi kwa kumchoma sindano yenye sumu
Mpishi wa Visinia aliyeacha kazi benki
Mpishi wa Visinia aliyeacha kazi benki
Sikiliza makala ya wanawake na maendeleo inayomuangazia mwanamke aliyethubutu kuacha kazi benki na kugeukia upishi hasa wa visinia katika mkoa wa Mtwara huko Tanzania. Salma Mkalibala ndiye aliyeandaa makala hii.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo