Sahra Wagenknecht alizaliwa mwaka 1969 mjini Jena, Ujerumani Mashariki, kwa mama Mjerumani na baba wa Kiirani. Ameanzisha chama kinachochanganya maadili ya kijamii ya kihafidhina na sera za kiuchumi za kijamaa.