Rwanda yaingia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Kitojo, Sekione4 Januari 2013
Licha ya kutuhumiwa kuwaunga mkono waasi katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda imeuanza mwaka 2013 ikiwa mjumbe wa muda wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, tukio linaloonekana kituko.