Rwanda imepunguza umri wa vijana kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango kutoka miaka 18 hadi 15 baada ya kupitisha sheria mpya. Vijana hawa sasa wanaruhusiwa kupata vidonge na vipandikizi, ingawa wabunge wanasisitiza kuwa mipira ama "condom" ndio zinapaswa kupewa kipaumbele. Ipi fikra yako?