Rais wa Kenya William Ruto ameonya dhidi ya juhudi za kuipindua serikali kupitia njia zilizo kinyume na katiba na kuwaamuru maafisa wa polisi wawapige risasi waandamanaji mguuni. Kauli hii aliitoa siku chache baada ya watu 31 kuuliwa katika mandaamdano yaSaba Sabai.Jiunge na Josephat Charo usikilize kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.