Robert Habeck ni mwanasiasa wa Chama cha Kijani aliyekuwa Naibu Kansela katika serikali ya mseto iliyoongozwa na SPD nchini Ujerumani tangu mwaka 2021-2025.